
HAWA HAPA MASTAA YANGA WATAKAOIBUKIA SUDAN
KIKOSI cha Yanga alfajiri ya Oktoba 15,2022 wanatarajia kukwea pipa kuelekea nchini Sudan kwa ajili kuwakabili Al Hilal, Jumapili. Hiki hapa kikosi kazi cha Yanga kinachotarajia kuibukia nchini Sudan:- Makipa ni Aboutwalib Mshery Djigui Diarra Eric Johora Mabeki Bakari Mwamnyeto Yannick Bangala Dickson Job Ibrahm Abdullah, (Bacca) Djuma Shaban Kibwana Shomari Mutambala Lomalisa David Bryson…