
YANGA NDANI YA DAR, MIPANGO YAO HII HAPA
KIKOSI cha Yanga kimewasili salama Dar leo Oktoba 17.2022 kikitokea Sudan ambapo kilikuwa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Hilal. Mchezo huo ulichezwa jana Oktoba 16,2022 na Yanga ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 na kufanya ikwame kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Kwa matokeo hayo Yanga itashiriki Kombe la Shirikisho…