
WATATU WATEMWA NDANI YA AZAM FC
KIKOSI cha Azam FC leo Desemba 31,2022 kitamenyana na beya City kikiwa kimeachana na nyota wake wawili jumlajumla. Ni kipa namba mbili Ahmed Salula ambaye msimu huu hajapata nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza pamoja na nyota Chilunda. Wanafikisha idadi ya nyota watatu ambao wameachwa na Azam FC wakiungana na Ibrahim Ajibu ambaye anaibukia ndani…