
MBRAZIL AIFUMUA SIMBA, AWAWEKA MTEGONI MASTAA
KOCHA Mkuu mpya wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ raia wa Brazil, amewaweka mtegoni mastaa wa kikosi hicho, baada ya kuweka wazi kwamba, mkakati wake wa kwanza ni kumpa nafasi kila mmoja kuonesha uwezo wake, ili kuwafahamu nyota wote na kuandaa kikosi cha kwanza. Juzi Jumanne, Robertinho alitangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Simba akichukua nafasi…