
KAKOLANYA ATAJWA AZAM FC
IMEFAHAMIKA kuwa, Azam FC, imeanza mazungumzo ya kimyakimya kwa ajili ya kuipata saini ya kipa namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya. Kakolanya hivi sasa amekuwa hana nafasi kubwa ya kucheza katika kikosi cha kwanza cha Simba, huku mkataba wake ukitajwa kumalizika mwisho wa msimu huu. Taarifa ambazo imezipata Spoti Xtra, zinasema kwamba, yapo mazungumzo ya…