INAELEZWA kuwa Klabu ya Azam FC ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya kipa namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya.
Mkataba wa kipa huyo ambaye aliongeza hivi karibuni miaka miwili unatarajiwa kugota ukingoni hivi karibuni.
Taarifa inaeleza kuwa Beno ameahidiwa mshahara mkubwa zaidi ya anaolipwa ndani ya Klabu ya Simba pamoja na uhakika wa kuanza ndani ya kikosi cha kwanza cha Azam endapo atajiunga nao.
Kwa sasa timu hiyo kipa wake namba moja ni Ali Ahamada ambaye ameanza kikosi cha kwanza kwenye mechi 14 msimu wa 2022/23.
Team Canada forward Jonathan David (#7) watches as his shot is saved by the Iceland goalkeeper during an international friendly match between Canada and Iceland at BMO Field in Toronto, Ontario, Canada, on March 28, 2026. (Photo by Indrawan Kumala/NurPhoto) (Photo by Indrawan Kumala / NurPhoto via AFP)