
FEISAL KUIBUKIA AZAM FC
NYOTA wa Yanga Feisal Salum anatajwa kumalizana na mabosi wa Azam FC ambao wanahitaji huduma yake. Nyota huyo anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Azam FC ambao wanahitaji kuboresha kikosi chao. Mabosi wa Yanga hivi karibuni waliweka wazi kuwa nyota huyo hawezi kusepa ndani ya kikosi hicho kutokana na mipango iliyopo ndani ya timu…