
RATIBA YA LIGI KUU BARA
RUVU Shooting chini ya Kocha Mkuu, Mbwana Makata ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru katika msako wa point tatu muhimu. Mchezo uliopita Ruvu Shooting ilipoteza pointi tatu mbele ya Ihefu ambapo ilifungwa mabao 2-0 lile moja ni mali ya…