SEPTEMBA 12,2022 Katibu Mkuu wa Coastal Union, Omar A.S Ayoub alimtambulisha kocha Yusuf Chipo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo.
Chipo alisaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuinoa timu hiyo ambapo alichukua mikoba ya Juma Mgunda anayeinoa Simba.
Taarifa zinaeleza kuwa kocha huyo kwa sasa yupo kwenye mazungumzo na mabosi wa timu hiyo ili aweze kuvunja mkataba wake.
Sababu kubwa ya kuwa kwenye hesabu za kuondolewa hapo ni mwendo mbovu wa timu hiyo na mchezo uliopita alishuhudia akipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya KMC.
Kete inayofuata ni dhidi ya Yanga, Uwanja wa Mkapa, Desemba 20,2022.
Team Canada forward Jonathan David (#7) watches as his shot is saved by the Iceland goalkeeper during an international friendly match between Canada and Iceland at BMO Field in Toronto, Ontario, Canada, on March 28, 2026. (Photo by Indrawan Kumala/NurPhoto) (Photo by Indrawan Kumala / NurPhoto via AFP)