
MASTAA YANGA WAPEWA MAAGIZO NA NABI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewapa maagizo mazito wachezaji wa timu hiyo ikiwa ni pamoja na Fiston Mayele, Aziz KI, Khalid Aucho na Dickson Job wakati huu wa mapumziko. Nyota hao ni miongoni mwa wale ambao watakosekana kwenye Kombe la Mapinduzi 2023 visiwani Zanzibar. Meneja wa Yanga,Walter Harrison amesema kuwa wachezaji wote wapo tayari…