
SIMBA YAKWEA PIPA, BANDA,NTIBANZOKIZA NDANI
NYOTA wa Simba Peter Banda tayari amerejea kwenye ubora wake akiwa ni miongoni mwa mastaa waliokwea pipa kuelekea Dubai. Kikosi hicho kimepata mualiko maalumu kutoka kwa Rais wa Heshima Mohamed Dewji ambapo kitaweka kambi kwa muda wa siku 7. Wengine ambao wapo kwenye kikosi hicho ni pamoja na Said Ntibanzokiza, Sadio Kanoute huku Moses Phiri…