
KULIA MAYELE,KUSHOTO KUNA HIKI CHUMA
KULIA Mayele, kushoto kuna chuma hiki, Mbrazil Simba atoa siku 10 za kuwaua Yanga ndani ya Championi Jumatatu
KULIA Mayele, kushoto kuna chuma hiki, Mbrazil Simba atoa siku 10 za kuwaua Yanga ndani ya Championi Jumatatu
SINGIDA Big Stars wana jambo lao ndani ya Kombe la Mapinduzi kutokana na kasi yao mbele za vigogo wanaokutana nao. Inakuwa timu ya kwanza kwenye makundi msimu huu kushusha kichapo kikubwa na mchezaji wake mmja kufunga mabao yote baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Azam FC. Ni Francis Kazad ambaye ni ingizo jipya…
KIUNGO mpya wa Yanga, Mudathir Yahya, ameweka wazi kuwa kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, kina wachezaji wazuri jambo linalomfanya azidi kupambana. Ingizo hilo jipya ndani ya Yanga, mchezo wake wa kwanza kucheza ilikuwa dhidi ya KMKM katika Kombe la Mapinduzi 2023 ambapo aliingia dakika ya 77 kuchukua nafasi ya Clement Mzize. Kwenye…
DILI la kijana Kelvin Nashon kutua ndani ya mitaa ya Kariakoo limegonga mwamba na sasa atakuwa kwa wakulima wa alizeti. Nashon ambaye ni kiungo alikuwa kwenye hesabu za Yanga na Simba lakini ameibuka ndani ya Singida Big Stars. Simba walikuwa wanahitaji kuongeza kiungo mkabaji atakayeongeza nguvu katika kikosi hicho ila wamemkosa nyota huyo. Leo Januari…
Ushindi unaendelea ukibeti na Meridianbet USSD Piga *149*10# BURE kutengeneza mkeka wako usipokuwa na Intaneti mahali popote Tanzania. Nafasi nyingine ya kuendelea kufurahia odds nono za soka kiganjani mwako. Jinsi ya Kujiunga na Meridianbet USSD! Ni rahisi sana kujiunga na huduma hii ya USSD, cha kufanya ni kuwa na simu yako ya mkononi, haichagui aina…
RASMI Azam FC imemtambulisha nyota mpya katikakikosi hicho ambaye ni kipa. Taarifa ya matajiri hao wa Dar imeeleza kuwa wameinasa saini ya nyota huyo kutoka Ghana, Abdulai Iddrisu kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Bechem United ya kwao Ghana. Kazi imeanza kwa mabosi hao ambao waliweka wazi kuwa usajili wao utakuwa na mtikisiko ndani ya…
MZARAMO Yanga Mandunduka walitucheka/Tambo zao zimeisha
UONGOZI wa Yanga chini ya rais wa klabu hiyo, Injinia Hersi Said, benchi la ufundi, wachezaji pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wadhamini, mapema jana Jumamosi walimtembelea mama Fatuma Karume ambaye ni mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume na kumpa zawadi mbalimbali ikiwemo jezi za timu hiyo. Hafla hiyo…
ZIKIWA zimebaki siku saba tu kabla ya kufungwa kwa dirisha dogo la usajili Januari 15, 2023, uongozi wa Simba umewashusha presha mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia watulie kwani mabosi wa timu hiyo wapo kwenye mazungumzo ya mwisho ya kuboresha kikosi chao kwa kushusha straika mpya. Kwenye dirisha hili dogo mpaka sasa, Simba ambao jana…
OFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe, amefunguka kwamba, kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 15, mwaka huu, watatikisa nchi kwa usajili mkubwa watakaofanya. Usajili wa dirisha dogo ulifunguliwa Desemba 16, 2022 na unatarajiwa kufungwa Januari 15, 2023, huku Yanga ikiwa tayari imemsajili kiungo, Mudathir Yahya. Akizungumza na Spoti Xtra, Kamwe alifunguka kuwa: “Kwa…
KIKOSI cha Simba, jana Jumamosi kiliondoka nchini kishua kwenda Dubai kwa ajili ya kambi ya wiki moja kujiandaa na mashindano ya Ligi Kuu Bara, Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho la Azam Sports, huku wakichimba mkwara mzito kuwa watarudi wakiwa na moto wa hatari. Safari hiyo ni mwaliko rasmi wa Rais wa Heshima…
KIKOSI cha Liverpool licha ya kupata sare bao kina kazi kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la FA dhidi ya Wolves. Kwenye mchezo wao uliochezwa Uwanja wa Anfield ilibaki kidogo watunguliwe lakini VAR iliwaokoa kwa kuligomea bao la Toti alilofunga dakika za mwisho katika sare ya 2-2 kwenye Uwanja wa Anfield. Toti aliifunga dakika ya…
KUISHI ni mapenzi ya Mungu na kwa kila jambo anastahili shukrani, katika hili la 2023 tunasema asante. Aziz KI 2022 kawatesa makipa kutokana na mapigo yake huru na mabao yanayowapa kero makipa. Hapa kwenye mwendo wa data tunakundoshea makipa waliopata tatu kutoka kwenye miguu ya Aziz KI:- Faroukh Shikalo Kipa namba moja kutunguliwa na Aziz KI ni Shikalo wa Mtibwa Sugar, dakika…
KIKOSI cha Simba kimewasili salama Dubai ambapo kitakuwa huko kwa ajili ya kambi ya muda wa siku saba. Ni Jnuari 7,2023 msafara wa kikosi hicho ulikwea pipa na kuibukia Dubai. Miongoni mwa msafara huo kulikuwa na benchi la ufundi pamoja na viongozi bila kuwasahau wachezaji ambao wanakkazi ya kusaka ubingwa wa ligi, Kombe la Shirikisho…
Ofa za Meridianbet zinaendelea kutaradadi katika kila kona, ofa baada ya ofa, promosheni baada ya promosheni katika mwezi wenye mambo mengi. Nafasi yako ya kujishindia mgao wako wa bonasi ya TZS 3,000,000 kutoka hapa nyumba ya Odds bomba. Jisajili, weka pesa katika akaunti yako na cheza sasa uwe mmoja ya washindi wa mgao wa bonasi…
KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeamua kuwa Feisal Salum bado ni mchezaji wa Yanga kwa mujibu wa mkataba Taarifa hiyo imetolewa leo Januari 7,2023 na TFF baada ya jana Januari 6,2023 shauri hilo kusikilizwa makao makuu ya TFF. Kwenye taarifa hiyo imeeleza kuwa uamuzi kwa…