
SIMBA KAZI IPO, KUWAVAA WAARABU WENYE NJAA
BAADA ya kuvuna pointi moja ugenini ukiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hesabu za wawakilishi wa Tanzania ni mchezo wao ujao dhidi ya Wydad Casablanca. Kibarua kigumu kwa Simba kukutana na Waarabu wa Morocco wenye njaa ya kupata ushindi wakati Simba wakiwa kwenye mwendo wa kusuasua katika kupata matokeo. Desemba 3 2023 kikosi…