Home Sports KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA AL AHLY

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA AL AHLY

YANGA ina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Mkapa.

Langoni anaanza Djigui Diarra kwenye siku ya leo ambayo inakwenda kwa jina la Bacca Day.

Yao

Joyce Lomalisa

Nondo

Dickson Job

Maxi Nzengeli

Aziz KI

Pacome

Previous articleSIMBA YAAMBULIA SARE TENA UGENINI
Next articleYANGA YAKOMBA POINTI MOJA KWA MKAPA