Home Sports MANCHESTER CITY DHIDI YA TOTTENHAM MZIGO WAKUTOSHA PALE MERIDIANBET

MANCHESTER CITY DHIDI YA TOTTENHAM MZIGO WAKUTOSHA PALE MERIDIANBET

Mchezo wa kukata na shoka utapigwa pale katika dimba la Etihad lakini ukiwa umebeba mzigo wa kutosha kwa wateja wa Meridianbet, Kwani mchezo unaweza kutoa fursa kwa wateja wa Meridian kushinda mkwanja wa kutosha kupitia mbungi hii ya kibabe

Manchester City wanashuka dimbani katika mchezo huu wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wao wa mwisho waliokutana kwa bao moja kwa bila, Hivo unatarajiwa kua mchezo wenye upinzani mkubwa baina yao.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mchezo huu ni mchezo wenye ushindani mkubwa mara zote vilabu hivyo vinapokutana kutokana na ubora wa wachezaji waliopo kwenye vilabu hivyo, Lakini awamu hii vilabu hivi vitakwenda kukutana vikiwakosa baadhi ya nyota wake kama Kevin de Bruyne kwa upande wa City, Huku kwa upande wa Spurs wakimkosa nyota wake James Maddison ambaye alianza msimu vizuri sana.

Mchezo huu utakua wenye ushindani mkubwa kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja kwani makocha wa vilabu vyote wana ubora mkubwa, Kwani Pep Guardiola anafahamika ubora wake bila kumsahau Ange Postecoglou wa Tottenham ambaye anahesabika kama moja ya makocha tishio wanaokuja barani ulaya hivo ni mechi ambayo itakupa vionjo vyote.

Mchezo huu unatarajiwa kua mkali vilevile kutokana matokeo ambayo vilabu hivyo imepata katika michezo yao ya mwisho, Manchester City ambao wametoka kudondosha alama katika mchezo uliopita wakicheza dhidi ya Liverpool wakitoka sare, Lakini pia Tottenham wao ndio watakua na njaa zaidi kwani hawajavuna alama hata moja katika michezo yao mitatu ya mwisho.

Mchezo huu umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet kwakua hivo unapewa nafasi kubwa wewe mteja wa Meridianbet kuhakikisha unaweza mkeka wako mapema ili uweze kujipigia maokoto ya kutosha wikiendi hii ili kuepuka unyonge.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Previous articleYANGA YAKOMBA POINTI MOJA KWA MKAPA
Next articleMWENDO WAO KIMATAIFA HALI NI MBAYA KWA WAWAKILISHI WETU