Home Sports AMEIBUKA CLATOUS CHAMA NA TAMKO HILI

AMEIBUKA CLATOUS CHAMA NA TAMKO HILI

MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama ambaye ni kiungo aliyefunga mabao mawili kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos ugenini ameweka wazi kuwa matokeo ya mchezo uliopita dhidi ya ASEC Mimosas wamesahau hivyo watapambana kwa ajili ya upata matokeo dhidi ya Jwaneng

Previous articleUWANJA WA LITI WAFUNGIKWA
Next articleKIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA DHIDI YA JWANENG