
ISHU YA CR 7 KUGOMEA PENALTI WAZEE WA MIKEKA MAKASIRIKO
KWA kitendo cha kukataa penalti wakamalia wakerwa na CR 7 wakiambulia makasiriko baada ya mkeka kuchanika kwenye mchezo huo ambao wengi waliamini timu ya mwamba huyo itashida. Cristiano Ronaldo, mshambuliaji wa Al Nassr FC juzi aliwashangaza watu kutokana na tukio lake la kukataa penalti. Timu yake ilipata penalti baada ya nyota huyo kufanyiwa faulo ndani…