Home Sports 40 LUCKY KASINO UNYAMA NI MWINGI KWENYE MAOKOTO

40 LUCKY KASINO UNYAMA NI MWINGI KWENYE MAOKOTO

Neno Kasino unapolisikia kwa mara ya kwanza unapata picha gani? Iko hivi Kasino ni sehemu nzuri yenye kila kitu cha kufurahi, ikiwemo michezo mingi na rahisi kushinda, Makamaria wengi hupenda kucheza na dau kubwa ili upate ushindi mkubwa ndiyo maana Merdianbet imeamua kuusogeza mchezo huu mpaka kiganjani mwako na unaweza kucheza kasino mtandaoni popote ulipo.

Moja kati ya michezo bomba ya kasino mtandaoni pale Meridianbet kuna mchezo unaitwa 40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti kwenye kasino mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma “Game Art“. Utaupenda mchezo huu ikiwemo aina mbili za alama ya scatter. Pia kuna alama za Jokeri zinazojaza mistari wima (coloumns). Unaweza kuongeza ushindi wako kwa msaada wa bonasi za ukaribisho za mchezo huu wa kasino mtandaoni.

40 Lucky Sevens ni kasino mtandaoni yenye mistari wima (columns) mitano iliyopangwa na mistari mlalo (rows) minne na ina mistari 40 ya malipo. Ili kupata ushindi wowote, unahitaji kupata alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo na utakuwa umeshinda mzunguko husika, cheza dau kubwa ili upige mzigo mkubwa.

Alama za Ushindi.

Nyota ndiyo alama pekee ya mchezo huu wa kasino mtandaoni inayotoa malipo kwa alama mbili zinazofanana kwenye mstari. Mipangilio yote ya ushindi, isipokuwa mipangilio yenye alama za scatter, huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia mstari wima (coloumn) wa kwanza kushoto.

Unaweza kupata ushindi mmoja tu, kwa mstari mmoja wa malipo. Ikiwa mstari wa malipo una mipangilio ya ushindi kadhaa, utalipwa mpangilio wenye thamani kubwa zaidi.

Jumla ya ushindi unawezekana kutokea ikiwa umeunganisha mistari kadhaa ya malipo kwa wakati mmoja katika mchezo huu wa 40 Lucky Sevens ya Kasino Mtandaoni Meridianbet.

Kwenye sehemu ya kuweka Beti kuna vitufe vya “jumlisha(+)” na “kutoa(-)” ambavyo vinatumika kuongeza au kupunguza thamani ya dau lako kwa kila mzunguko.

Pia kuna chaguo la Kucheza Moja kwa Moja (Autoplay), ambalo unaweza kulitumia unapotaka. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka hadi mizunguko 500. Pia unaweza kuweka mipaka ya faida na hasara inayopatikana wakati wa kutumia chaguo hili.

Kama unapenda mchezo wenye spidi au kasi zaidi, unaweza kuwezesha chaguo la Haraka (Fast Spin) na chaguo la Kasi Kubwa (Turbo Spin) Hakika 40 Lucky Sevens ni mchezo bomba kabisa wa kasino mtandaoni, cheza sasa ufurahie ushindi mkubwa kwa kila beti.

NB: Mabingwa Ubashiri Meridianbet inakupa nafasi ya kufurahia huduma bora za uchezaji kwa kutumia mfumo wa Aplikeshini yao maalum, Pakua Meridianbet App ufurahie kubeti na kucheza kasino mtandaoni kirahisi.

Previous articlePANGA LINAPITA SIMBA, MASTAA HAWA KUKUTANA NALO
Next articleUSHINDANI KWENYE LIGI KUU BARA UENDELEE