Home Sports PANGA LINAPITA SIMBA, MASTAA HAWA KUKUTANA NALO

PANGA LINAPITA SIMBA, MASTAA HAWA KUKUTANA NALO

MPANGO mkubwa wa Simba ni kupata matokeo mazuri kwenye mechi ambazo wanacheza. Kutokana na mwendo wao wa kusuasua kuna panga lnatarajiwa kupita kwenye dirisha dogo huku baadhi ya nyota wakitajwa kuwa kwenye mpango wa kupewa mkono wa asante.

Previous articleANA NDOTO ZA KUREJEA UWANJANI MDAMU, ANAHITAJI MSAADA
Next article40 LUCKY KASINO UNYAMA NI MWINGI KWENYE MAOKOTO