
KOCHA MPYA SIMBA ANALITAMBUA SOKA LA AFRIKA
KLABU ya Simba imemtangaza Abdelhak Benchikha raia wa Algeria mwenye umri wa miaka 60 kuwa kocha wao mkuu. Kocha huyo anarithi mikoba ya Roberto Oliveira, ( Robertinho) ambaye alisitishiwa mkataba wake muda mfupi baada ya kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 1-5 Yanga. Kocha huyo ana uzoefu mkubwa kwenye mechi za ushindani hivyo…