
AZAM FC WAKIMBIZA DAKIKA 270
NDANI ya dakika 270 kwenye mechi tatu za ligi, Azam FC wamekimbiza kwa kukomba pointi zote tisa walizokuwa wakisaka ndani ya uwanja. Chini ya Kocha Mkuu, Yusuph Dabo kwenye mechi tatu mfululizo ilikuwa ni kicheko kwao huku maumivu yakiwa kwa wapinzani wao. Ilianza na kete ya ugenini ubao wa Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa…