MENEJA wa idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa mwendo ambao wanakwenda nao kwenye mechi za kimataifa haujawa mzuri jambo linalowaongezea ugumu kupata matokeo kwenye mechi zijazo. Timu hiyo Novemba 25 ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 1-1 ASEC Mimosas katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Hatua ya Makundi. Wakiwa nyumbani wanagawana pointi mojamoja ndani ya dakika 90.
Tottenham Hotspur forward Dominic Solanke battles with Crystal Palace defender Maxence Lacroix during the English championship Premier League football match between Crystal Palace and Tottenham Hotspur on 27 October 2024 at Selhurst Park in London, England - Photo Ian Stephen / ProSportsImages / DPPI (Photo by IAN STEPHEN / ProSportsImages / DPPI via AFP)