KUSANYA MPUNGA WA MAANA NA MECHI ZA UEFA LEO

Kama kijana najua una ndoto nyingi za mafanikio kulingana na hali ya uchumu ilivyo sasa nchini. Basi Meridianbet wanakuambia hivi ukibashiri na wao kutimiza ndoto zako ni rahisi sana kwani huku wamekuwekea kila ambacho unakitaka wewe. Bashiri sasa mechi za UEFA hapa.

Hebu tuanze pale katika jiji la Italia ambapo Lazio Rome atakuwa mwenyeji wa Celtic Glasgow ambaye kwenye mechi hii anapewa nafasi ndogo ya kushinda mchezo huu akipewa ODDS 5.29 huku mwenyeji wake akipewa 1.57. Mwenyeji yupo nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi hilo huku mara ya mwisho walipokutana Sarri na vijana wake walishinda. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi ugenini? Suka jamvi lako hapa na Meridianbet. Ukiachana na mechi hizo za mpira wa miguu meridianbet pia wana michezo ya kasino ya mtandaoni, ingia na ucheze.

Nao PSG ambao wapo chini ya Luis Enrique watakichapa dhidi ya Newcastle United ambao wamepewa ODDS 4.70. Paris wanalitaka kombe hili kwa hamu kwani hawajawahi kulipata. Ushindi wa vijana hawa wa Parc des Princes umepewa ODDS 1.66. Je wataweza kutoboa mbele ya vijana wa Howe? Beti sasa na Meridianbet.

Vibonde wa kundi G, Young Boys Bern watakiwasha dhidi ya FK Crvena Zvezda Belgrade huku wote wakiwa na pointi moja moja kinachowatofautisha ni magoli ya kufungwa na kufunga. Walipokutana mara ya mwisho walitoshana nguvu. Leo hii nani kuondoka na alama 3? Ingia na ubashiri sasa mechi hiyo bila kusahau kucheza mchezo pendwa wa kasino Aviator.

Huku ukiendelea kujibweda na mechi hizi za UEFA kumbuka kucheza Kasino ya Mtandaoni kama vile Aviator, Keno, Roullette, Piggy Party, Wild Icy Fruits, na michezo mingine mingi ambayo itakupatia maokoto ya maana. Ingia mchezoni Meridianbet na ucheze sasa.

Baada ya kupoteza mchezo uliopita, leo hii FC Barcelona atakuwa mwenyeji wa FC Porto ambaye yupo nafasi ya pili kwenye kundi. Kibonde alikuwa Porto kwenye mechi ya kwanza walipokutana, Je leo hii Xavi na vijana wake wanaweza kushikwa shati? Mwenyeji amepewa ODDS 1.45 kwa 6.86. Suka mkeka wako hapa.

Mechi nyingine majira hayo hayo leo hii itakuwa ni kati ya FC Shakhtar Donetsk ya Ukrain dhidi ya Royal Antwerp huku mgeni akiwa ndiye kibonde wa kundi hili akiwa hajashinda mchezo wowote. Mwenyeji ana pointi 6 mpaka sasa akishika nafasi ya 3. Nafasi ya kushinda mechi hii kapewa mwenyeji akiwa na ODDS 2.01 kwa 3.52. Beti na Meridianbet mechi hii.

Utamu wa mechi hizi za UEFA utakuwa kule nchini Italia katika dimba la San Siro ambapo AC Milan chini ya kocha mkuu Stephen Pioli watakiwasha dhidi ya Borussia Dortmund. BVB ndiyo vinara wa kundi hilo F wakiwa na pointi zao 7 huku Milan yeye akiwa na pointi 5 pekee. Mara ya kwanza walipokutana walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuibuka mbabe?. Mechi hii imepewa ODDS 2.14 kwa 3.33. Suka mkeka wako jumuisha na mechi hii.

Wakati huo huo vijana wa Pep Guardiola Manchester City ambao ndio mabingwa watetezi wa kombe hili ambao tayari wameshafuzu hatua ya 16 bora watakuwa Etihad kukiwasha dhidi ya RB Leipzig ambao nao tayari wameshafuzu. Mara ya mwisho walipokutana City aliondoka na ushindi ugenini. Je leo hii ni zamu ya RB kushinda nao ugenini? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 pale Meridianbet.

Vijana wa Carlo Ancellotti Real Madrid watamualika Santiago Bernabeu Napoli kukiwasha baada ya timu hiyo kushinda mechi zake zote kwenye kundi C. Meridianbet wamempa Real kushinda mechi hii kwa ODDS 1.81 kwa 4.01. Unadhani nani ataibuka na ushindi hapo kesho? Beti kijanja na Meridianbet huku pia wakikuambia pesa zipo kule kwenye Keno, poker, Roullette na mingine kibao beti sasa.

Huku vijana wa Simone Inzaghi Inter Milano wao watakuwa ugenini kukichapa dhidi ya Benfica ya Ureno. Inter ana pointi 10 huku mwenyeji wake akiwa hana pointi yoyote baada ya kupoteza michezo yote minne. Je kesho anaweza fanya maajabu yoyote uwanjani? Suka mkeka wako wa maana hapa.

Real Sociedad San Sebastian kutoka kule Hispania wao watakiwasha dhidi ya FC Salzburg. Sociedad ndiye kinara wa kundi hilo akiwa na pointi 10, huku mgeni wake akiwa na pointi 3 pekee. Je kuibuka kidedea hapo kesho? Beti sasa na Meridianbet.

Utamu ukuwa kati ya Galatasaray ambao watakuwa wenyeji wa  Manchester United ambapo mara ya mwisho walipokutana, United walipoteza. Kushinda mechi hiyo Mashetani Wekundu wamepewa 2.50 kwa 2.60. Je kesho wanaweza kushinda?

Wakati huo huo Arsenal wao wataumana dhidi ya RC Lens ya kule Ufaransa huku mara ya mwisho walipokutana, The Gunners walipigwa na butwaa baada ya kupoteza mechi hiyo. 1.30 ndiyo ODDS ya ushindi kwa vijana wa Mikel Arteta kwa 8.82. Ingia mchezoni na ucheze sasa.