
FULHAM WATEMBEZA MKONO HUKO
FULHAM walichokifanya dhidi ya West Ham Desemba 10 ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu England ilikuwa ni balaa zito. Baada ya dakika 90 ubao wa ulisoma Fulham 5-0 West Ham huku mabao matano yakiwa kwenye mkoba wao pamoja na pointi tatu muhimu. Ni Carlos Vinicius dakika ya 89 alikuwa mchezaji wa mwisho kukamilisha 5G. Raul…