Home Sports NGAO 2023: SIMBA QUEENS YATINGA FAINALI KWA KUICHAPA YANGA PRINCESS

NGAO 2023: SIMBA QUEENS YATINGA FAINALI KWA KUICHAPA YANGA PRINCESS

Kikosi cha Timu ya Soka ya Wanawake ya Simba Queens kimefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake 2023 kwa kuifunga Yanga Princess kwa penati 5-4 katika Nusu Fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam

Timu hizo zilifika hatua hiyo baada ya matokeo ya 0-0 katika muda wa kawaida, hivyo Simba Queens itavaana na JKT Queens katika Fainali baada ya kuingia hatua hiyo kwa ushindi wa magoli 5-0 dhidi ya Fountain Gate Princess

Previous articleFT: Machester United 0-3 Bournemouth
Next articleSIMBA WAJIONGEZEA MZIGO KIMATAIFA, WAO WENYEWE SABABU