>

FT: Machester United 0-3 Bournemouth

Baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Chelsea Manchester United imeshindwa kuendeleza mwenendo mzuri na kukubali kichapo cha 3-0 nyumbani dhidi ya Bournemouth.

FT: Machester United 0-3 Bournemouth
⚽️ 5’ Solanke
⚽️ 68’ Billing
⚽️ 73’ Senesi

#FULLTIME
Brighton 1-1Burnley
Sheffield United1-0 Brentford
Wolves 1-1Nottingham Forest
Crystal Palace 1-2 Liverpool