
IHEFU WAKOMBA POINTI ZA TABORA UNITED
WAKIWA Uwanja wa Highland Estate Ihefu walikomba pointi zote tatu mazima kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tabora United. Katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa mwamba Vedastus Mwihambi alipachika mabao yote kwa Ihefu ilikuwa dakika ya 40 na dakika ya 56. Kwenye mchezo huo uliochezwa Desemba 8 ni bao la Andy Bikoko lilikuwa…