MASTAA HAWA YANGA HABARI NYINGINE KIMATAIFA

MASTAA wa Miguel Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi wakiongozwa na Pacome Zouzoua, Maxi Nzengeli, Kennedy Musonda ni habari nyingine. Nyota hao ushirikiano wao umekuwa na matokeo chanya katika mechi mbili zilizopita za Ligi ya Mabingwa Afrika ambazo ni dakika 180 nyumbani na ugenini. Katika mchezo…

Read More

KAGERA SUGAR HASIRA KWA SIMBA

KLABU ya Kagera Sugar inayotumia Uwanja wa Kaitaba kwa mechi zake za nyumbani hasira zake kwa sasa ni kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Simba.  Kagera Sugar inatarajiwa kusaka pointi tatu mbele ya Simba Desemba 15 katika msako wa pointi tatu muhimu. Desemba 9 Kagera Sugar walishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga ukisoma Coastal…

Read More

BOSI SIMBA AMEFAFANUA NAMNA WATAKAVYOTUSUA CAF

AHMED Ally Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa bado kuna nafasi ya timu hiyo kutinga hatua ya robo fainali licha ya matokeo ambayo hayajawa mazuri kwao. Kwenye mechi tatu ambazo Simba imecheza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika imeambulia pointi mbili ikipoteza mchezo mmoja jambo ambalo linaongeza ugumu kwa timu…

Read More

PUMZIKA KWA AMANI NISHER

MTAYARISHA wa video za muziki Bongo, Nic Davie maarufu kwa jina la Director Nisher amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, saa nane na dakika tisa. Taarifa za kifo cha Nisher zimethibitishwa na familia yao, ambapo kupitia akaunti za mitandao ya kijamii, wameandika. “Familia ya Nabii Mkuu, Dkt. Geordavie inasikitika kutangaza kifo cha kijana wao mpendwa,…

Read More

AZAM FC WAJIKITA NAMBA MOJA, NADO AFANYA YAKE

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wameendelea kujikita kuwa namba moja kwenye msimamo baada ya kukomba ponti tatu mbele ya JKT Tanzania. Kwenye mchezo uliochezwa Desemba 11 2023 Uwanja wa Azam Complex unakuwa ni ushindi  wa tano mfululizo ndani ya Ligi Kuu Bara Mabao ya Azam FC yalifungwa na Sospeter Bajana dakika ya kwanza likawekwa usawa…

Read More

JINSI YA KUJIUNGA NA BETWINNER

KUNA namna nyingi ambazo zitakumpa pesa bila usumbufu hapa tunakuletea jinsi ya kujisajili Betwinner, ni rahisi sana ambapo unatakiwa kugusa link https://bwredir.com/24Ji?p=%2Fregistration%2F Kisha bonyeza Registration by One-click ‼️ Kisha kwenye Enter promo code jaza: CHAMA kama code ya bonasi Ukikamilisha hilo gusa kwenye REGISTER na utapewa Username (Login) na Password na hapo sasa utakuwa umejiunga na…

Read More

KOCHA SIMBA APISHANA NA TUZO

KOCHA Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha amepishana na tuzo ya kocha bora baada ya kuingia kwenye tatu bora ya wale wanaowania tuzo hiyo. Mrithi huyo wa mikoba ya Roberto Oliveira alikuwa kwenye chungu kimoja na Walid Regragui wa Morocco pamoja na Aliou wa Senegal. Mwisho kwenye usiku wa tuzo  kocha bora kwa timu za wanaume…

Read More

MAYELE APISHANA NA TUZO, PERCY AIBEBA

KWENYE usiku wa tuzo Tuzo Desemba 11 mchezaji bora wa mwaka kutoka kwenye mashindano ya vilabu ambaye kasepa na tuzo hiyo ni Percy Tau wa Al Ahly. Nyota huyo amewashinda wachezaji wenzake ambao alikuwa nao kwenye fainali ambao ni Peter Shalulile wa Mamelodi na Fiston Mayele  ambaye yupo ndani ya Pyramids akitokea Yanga. Tuzo ya…

Read More

NGOMA NZITO KWA SINGIDA FOUNTAIN GATE V KMC

SINGIDA Fountain Gate imegawana pointi mojamoja na KMC kàtika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Desemba 11. Ni Uwanja wa Black Rhino mchezo huo umechezwa kwa timu zote kushuka uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Singida Fountain Gate 0-0 KMC. Ngoma imekuwa nzito kwa pande zote mbili kufanikisha malengo…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE SASA NI BLACK RHINO

UONGOZI wa Singida Fountain Gate umeweka wazi kuwa hasira zote walizoanza nazo kuoyesha Uwanja wa Liti kwa mechi zao za nyumbani zinahamia Uwanja wa Black Rhino. Uwanja huo wa Black Rhino Academ upo Karatu utatumiwa na Singida Fountain Gate baada ya Uwanja wa Liti kufungiwa kutokana na kukosa ubora. Ofisa Habari wa Singida Fountain Gate,…

Read More

FULHAM WATEMBEZA MKONO HUKO

FULHAM walichokifanya dhidi ya West Ham Desemba 10 ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu England ilikuwa ni balaa zito. Baada ya dakika 90 ubao wa ulisoma Fulham 5-0 West Ham huku mabao matano yakiwa kwenye mkoba wao pamoja na pointi tatu muhimu. Ni Carlos Vinicius dakika ya 89 alikuwa mchezaji wa mwisho kukamilisha 5G. Raul…

Read More

KIMATAIFA YANGA NA SIMBA MAMBO MAGUMU/ WAAMUZI HESABU

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Yanga mambo ni magumu kwenye anga la kimataifa kutokana na kushindwa kufanya vizuri kwenye mechi zao tatu katika hatua ya makundi. Timu zote mbili zina pointi mbili baada ya kucheza mechi tatu ndani ya dakika 270 hivyo kuna kazi kubwa kwa wawakilishi hawa wote kufanya…

Read More