Home Sports KIMATAIFA YANGA NA SIMBA MAMBO MAGUMU/ WAAMUZI HESABU

KIMATAIFA YANGA NA SIMBA MAMBO MAGUMU/ WAAMUZI HESABU

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Yanga mambo ni magumu kwenye anga la kimataifa kutokana na kushindwa kufanya vizuri kwenye mechi zao tatu katika hatua ya makundi.

Timu zote mbili zina pointi mbili baada ya kucheza mechi tatu ndani ya dakika 270 hivyo kuna kazi kubwa kwa wawakilishi hawa wote kufanya kazi kubwa kwenye mechi ambazo zimebaki kutokana na kila timu kusaka pointi tatu muhimu. Hakuna mwenye unafuu na ambacho kinatakiwa ni kufanya vizuri kwenye mechi zinazofuata katika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Previous articleGAMONDI: TULIENI NIACHIENI MIMI, BENCHIKHA ASHUSHA PRESHA
Next articleFULHAM WATEMBEZA MKONO HUKO