>

MERIDIANBET YAINEEMESHA MWENGE WAGAWA MIAMVULI

Zamu ya Mwenge jijini Dar-es-salaam sasa ambapo mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wamewafikia wakazi wa eneo hilo ambapo wameweza kutoa msaada Miamvuli kwa wajasiriamali wa eneo hilo.

Mara kwa mara kampuni hiyo imekua ikirudi kwenye jamii na kujaribu kuigusa kwa kwa namna moja ama nyingine hasa kwa wale wenye uhitaji na awamu hii kampuni hiyo imeona wafanyabiashara wadogowadogo wa Mwenge ndio wenye uhitaji.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Miamvuli ambayo imetolewa kwa wakazi hao wa Mwenge ni Miamvuli mikubwa ambayo hutumika haswa kwenye vioski vya barabarani au maduka madogo, Ambapo huwasaidia kujikinga na jua na mvua wakati wakiendelea na shughuli zao.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano kutoka Meridianbet Nancy Ingram alifanikiwa kuzungumza kwa niaba ya kampuni na kusema “Kwanza kabisa napenda kuwashukuru kwa mapokezi yenu mazuri lakini kubwa ni sisi kufika hapa na kuweza kutoa vifaa hivi ambavyo vitawasaidia katika shughuli zenu za kila siku”

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mmoja wa Wafanyabiashara wadogowadogo wanaopatikana Mwenge Mpaka alizungumza na kwa niaba ya wenzake huku akisema “ Kiukweli napenda kuwashukuru kampuni ya Meridianbet kwa kuonesha ukarimu mkubwa kwa kuja kutupatia vifaa ambavyo vitaweza kutusaidia katika shughuli zetu, Ningependa makampuni mengine yaige mfano kwa Meridianbet kwa kukumbuka wahitaji”