Home Sports SIMBA YAPANIA KULA SAHANI MOJA NA WAARABU

SIMBA YAPANIA KULA SAHANI MOJA NA WAARABU

KIKOSI cha Simba kina kazi ya kusaka ushindi mbele ya Waarabu wa Morocco, Wydad Casablanca Desemba 9 ukiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo wameweka wazi kuwa watakula sahani moja na wapinzani wao hao kusaka pointi tatu muhimu.

Previous articleIHEFU WAKOMBA POINTI ZA TABORA UNITED
Next articleMATAJIRI WA DAR MOTO WAO SIO WAKITOTO