
MIKATABA WALIYOPEWA NYOTA WAPYA SIMBA INA VIPENGELE VIGUMU
IMEBAINISHWA kuwa mikata waliyopewa nyota wapya wa Simba ina vipengele vigumu hivyo wakikwama kukamilisha mpango kazi itakuwa ni njia kwao kukutana na Thank You. Ipo wazi kwamba Simba imeachana na nyota wao wa kazi ikiwa ni pamoja na Jean Baleke ambaye ni mfungaji namba moja akiwa na mabao 8 pamoja na Moses Phiri mwenye mabao…