Home Sports LIVERPOOL VS BOURNEMOUTH KITAWAKA LEO, BASHIRI HAPA UIBUKE MILIONEA

LIVERPOOL VS BOURNEMOUTH KITAWAKA LEO, BASHIRI HAPA UIBUKE MILIONEA

Liverpool v Nottingham Forest - Premier League - Anfield Liverpool s Mohamed Salah right celebrates with Darwin Nunez and Harvey Elliott after scoring their side s third goal of the game during the Premier League match at Anfield, Liverpool. Picture date: Sunday October 29, 2023. EDITORIAL USE ONLY No use with unauthorised audio, video, data, fixture lists, club/league logos or live services. Online in-match use limited to 120 images, no video emulation. No use in betting, games or single club/league/player publications. PUBLICATIONxNOTxINxUKxIRL Copyright: xPeterxByrnex 74367632

Meridianbet kampuni ya kwanza ya ubashiri Tanzania, leo hii inatoa pesa kibao endapo ukiweka dau lako dogo na kuanza kubashiri nao kwani kama jana hukuweza kupiga mpunga basi nafasi yako ipo leo. Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Darubini yangu ilianza kumulika ligi ya Uhispania, LALIGA ambapo Real Madrid atamualika UD Almeria ambaye mechi iliyopita alitoa sare, na ni kibonde wa ligi hadi sasa. Real kushinda ana ODDS 1.13 kwa 16.66. Je Madrid ya Ancellotti itashinda ngapi?

Naye Real Betis Seville atacheza dhidi ya FC Barcelona ambayo ipo chini ya kocha mkuu Xavi huku meridianbet wakimpa Barca nafasi ya kuchukua pointi tatu kwa ODDS 1.81 kwa 3.92. Mara ya mwisho kukutana vijana wa Xavi walishinda. Je leo hii Betis atalipa kisasi? Suka mkeka sasa.

Huku Girona baada ya kulazimishwa sare mchezo uliopita, leo hii watamenyana dhidi ya dhidi ya Sevilla saa 5:00 usiku ikikumbukwe kuwa mgeni anajitafuta sana msimu huu yani amepoteana ambapo amaepewa 4.41 kushinda mchezo huu na mwenyeji wake amepewa 1.72. Tofauti ya pointi kati yao ni 33. Beti sasa.

Ukiachana na ligi, pia kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo unaweza kucheza na kupata pesa papo kwa hapo. Michezo hiyo ni kama vile Poker, Roullette, Aviator, Sloti na mingine mingi. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

EPL nayo kama kawaida kuna mechi mbili tuu leo na  mchezo wa mapema utakuwa ni kati ya Sheffield United dhidi ya Westham United ya David Moyes. Nafasi kubwa ya kushinda mechi hii amepewa Mgeni kw a ODDS ya 2.35 kwa 3.09. Mara ya mwisho kukutana Wagonga nyundo walishinda. Je leo hii nani atashinda. Bashiri sasa mechi hii na meridianbet.

Mechi nyingine ni kati ya vinara wa ligi Liverpool ambao watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Bournemouth ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 4.21 kwa 1.69. Jogoo anahitaji ushindi ili aendelee kujiimarisha kileleni. Je mwenyeji atamzuia?. Beti hapa.

SERIE A nayo itarindima vilivyo kwa mechi zenye maokoto Frosinane Calcio atakuwa mwenyeji wa Cagliari ambaye mechi ya mwanzo walipokutana alishinda. Mechi hii imepewa ODDS 2.35 kwa 2.94. Nani kuondoka na ushindi leo?

Vilevile Empoli yeye atakiwasha dhidi ya Monza na timu zote zimetoka kupoteza mechi zao zilizopita. Hivyo leo kila timu inahitaji kushinda. Mwenyeji amepewa ODDS ya 2.60 kwa 2.65. Suka mkeka wako sasa.

Mechi ya mwisho kwa leo kule Italia itakuwa ni kati ya US Lecce dhidi ya Juventus ambao wakishinda leo watakaa kileleni kwenye msimamo wa ligi. Bibi Kizee kushinda amepewa ODDS 1.76 kwa 5.06. Allegri ataongoza ligi leo?. Jisajili na ubeti sasa.

BUNDESLIGA kule Ujerumani bingwa mtetezi Bayern Munich atakuwa Allianz Arena kucheza dhidi ya Werder Bremen. Mara ya mwisho kukutana vijana wa Thomas Tuchel na vijana wake walishinda. Je leo kwa ODDS ya 1.08 ya Munich na 22.54 ya Bremen nani kushinda.

Mechi ya mwisho kwa leo Ujerumani ni kati ya Borussia Monchengladbach dhidi ya Augsburg ambaye yupo nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi. Borussia kushinda ana ODDS 1.96 kwa 3.57. Bashiri na meridianbet mechi hii.

 

Previous articleBOSI WA MAN CITY ATIMKIA MAN UTD KUWA CEO MPYA
Next articleKARATA YA PILI KWA STARS LEO