Home Entertainment MRC Kigamboni Yaishukuru Meridianbet

MRC Kigamboni Yaishukuru Meridianbet

Kituo cha watu ambao wameathirika na madawa ya kulevya, MRC Muungano, Recovery Community leo hii wameishukuru meridianbet kwa kuwatembelea na kuwapelekea msaada wa chakula na vifaa vya usafi kama vile sabuni.  

Baada ya kimya kingi sasa meridianbet wamekuja na kishindo kikubwa cha kurejesha kwenye jamii kama ambavyo huwa wanafanya ambapo leo hii zamu ilikuwa kwa Wanakigamboni hasa kwa wale ambao ni waathirika wa dawa za kulevya na msafara huo uliongozwa na Nancy Ingram Mhariri wa meridianbet.

Waliweza kutoa vifaa vya usafi kwani kama tunavyojua usafi ni muhimu sana hasa mazingiara ambayo yanatuzunguka, lakini pia walitoa vyakula kama mchele, sukari nk ambavyo vitawasaidia siku za hivi karibuni.

Meridianbet kampuni kubwa kabisa ya ubashiri Tanzania nzima wakisifika kwa ODDS KUBWA, kupitia kiongozi wao walisema kuwa msaada huo utaenda kuwasaidia watu hao kwaajili ya matumizi yao ya kila siku kwani chakula ni muhimu sana kwa binadamu yoyote yule.

Pia kumbuka kubashiri na meridianbet mechi za leo kuanzia pale EPL, BUNDESLIGA, LALIGA, SERIE A, na nyingine nyingi utusue mpunga wa maana umalize wikendi yako vizuri kabisa. Ingia meridianbet sasa na ubashiri.

Msaada huo uliwafurahisha wakazi wa eneo hilo la MRC Kigamboni  kwa kuwafikiwa na na meridianbet na kuwashukuru sana kwani vyakula na vifaa hivyo vitawasaidia kwa namna moja au nyingine kwa siku hizi na kuwaomba watu wengine waige mfano wa meridianbet kwani kujali wengien ni jambo zuri sana.

Lakini pia hawakuishia hapo waliomba meridianbet warudi tena siku nyingine kwani watu hao walioathirika na madawa ya kulevya ni wengi na msaada unahitajika ni mkubwa sana.

Vilevile meridianbet inakukumbusha kucheza micheoz ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rocketman, na Sloti kwa dau dogo tuu upige mkwanja wa maana.

Meridianbet nao baada ya kumaliza tukio hilo la kutoa msaada kwa waathirika wa madawa ya kulevya, waliwaambia kuwa watarudi tena siku nyingine kwaajili ya kuwasaidia watu hao.

Previous articleTAIFA STARS KWENYE MIKONO YA MAKOCHA HAWA
Next articleGUEDE: NAKUJA KUWAPA FURAHA YANGA