
ISHU YA SAIDO KUBAKI SIMBA IPO HIVI…
IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Mualgeria Abdelhak Benchikha ndiye aliyenusuru panga la kiungo wake mshambuliaji, Said Ntibanzokiza ‘Saido’ kuendelea kubakia Msimbazi. Awali kiungo huyo alikuwepo katika mipango ya kuachwa katika usajili huu wa dirisha uliofungwa jana saa 5:59 usiku, baada ya kuwepo mvutano wa kimaslahi ya mkataba. Kiungo huyo aligomea kusaini mkataba wa mwaka…