
AMEJITWISHA MZIGO MZITO YANGA MWAMBA PACOME
MWAMBA Pacome kiungo wa Yanga amejitwisha mzigo mzito kwa ajili ya kuhakikisha kwamba anafanya vizuri kwenye mechi za kitaifa na kimataifa ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi.
MWAMBA Pacome kiungo wa Yanga amejitwisha mzigo mzito kwa ajili ya kuhakikisha kwamba anafanya vizuri kwenye mechi za kitaifa na kimataifa ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi.
MWAMBA huyu hapa mshambuliaji wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga ikiwa ni ingizo jipya katika dirisha dogo. Anaitwa Joseph Guede raia wa Ivory Coast ambapo kafunga dirisha la usajili kwa upande wa Yanga katika dirisha dogo. Yeye ni mshambuliaji wa Kati anakuja kuongeza nguvu kwenye eneo la ushambuliaji ndani ya Yanga. Wakati anaingia mwamba…
Jumatatu ya leo mechi 3 za AFCON zitapigwa na wewe kama mteja wa meridianbet huu ndio muda sahihi wa kusuka jamvi lako kwani mechi ya mapema inaanza muda mchache ujao hivyo weka pesa yako kwenye akaunti yako na utengeneze jamvi lako la maana leo. Mechi nyingi za leo zina pesa sana hasa ukizingatia unaweza ukachagua…
NYOTA Pa Omar Jobe ni mnyama mwingine baada ya kutambulishwa rasmi Januari 15 2024 ikiwa ni usajili wa kuboresha kikosi hicho kilichogotea nafasi ya pili Mapinduzi 2024. Ipo wazi kwamba Januari 13 ubao wa Uwanja wa New Amaan baada ya dakika 90 kwenye fainali ya Kombe la Mapinduzi ulisoma Mlandege 1-0 Simba. Joseph Akandwanao aliwakanda…
WINGA Jesus Moloko nyota wa Yanga anatajwa kuwa kwenye hesabu za kupewa mkono wa asante. Nyota huyo hajawa na nafasi kwenye kikosi cha Miguel Gamondi ndani ya Yanga kutokana na ushindani wa namba. Alikuwa kwenye kikosi kilichoshiriki Mapinduzi 2024 kikagotea hatua ya robo fainali kwa kushuhudia ubao ukisoma Yanga 1-3 APR FC. Raia huyo wa…
MUDA uliosubiriwa kwa shauku kubwa ni sasa na kila mmoja anaona namna hali halisi ilivyo nchini Ivory Coast kwenye mashindano makubwa Afrika ambayo yameanza kushika kasi taratibu. Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars ina kazi ya kufanya kwenye mashindano hayo ambapo kikubwa ni kuona kwamba kila mmoja anapenda kuona anapata ushindi na sasa ni kazi…
MAAMUZI mazito Simba, Gamondi ajipanga kwa vita tatu Bongo ndani ya Championi Jumatatu.
JANUARI 13 2024 mashindano ya Mapinduzi 2024 yaligota mwisho huku Mlandege wakitwaa taji hilo mara ya pili mfululizo kwa ushindi wa bao 1-0 Simba. Baada ya mchezo huo bosi wa Yanga ameweka wazi kuwa alitambua mapema kwamba hakuna timu iliyokuwa na uwezo wa kuizuia Mlandege kutwaa kwa mara ya pili taji hilo jambo ambalo limetimia.
Michuano ya mataifa ya Afrika maarufu kama AFCON kuendelea kutimua vumbi leo huko nchini Ivory Coast na timu kadhaa leo zitashuka dimbani kutafuta alama tatu muhimu kwajili ya kufuzu hatua inayofuata. Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet hawataki uangalie AFCON kinyonge, Kwani wamekuwekea Odds za kutosha katika michezo ambayo itapigwa leo hivo ni…
BAADA ya kuondolewa katika Mapnduzi 2024 katika hatua ya robo fainali dhidi ya Simba, Singida Fountain Gate wameweka shida chini na kuwapa ruhusa wachezaji kula bata kwa mapumziko mafupi. Ipo wazi kuwa Januari 10 ubao ulisoma Singida Fountain Gate 1-1 Simba kwenye penalti ilikuwa Singida Fountain Gate 2-3 Simba na timu hiyo ikagotea hatua ya…
AMEPEWA onyo nyota wa Simba na benchi la ufundi ambalo lipo chini ya Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha kuhusu kazi na nidhamu kwenye kikosi hicho ambacho kimegotea nafasi ya pili kwenye Mapinduzi 2024 kwa kushuhudia ubao ukisoma Mlandege 1-0 Simba.
ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa alitabiri tangu awali kuwa Mlandege walikuwa na nafasi ya kutwaa taji la Mapinduzi 2024 kwa mara nyingine tena. Ipo wazi kuwa Januari 13,2024 ubao wa Uwanja wa New Amaan Complex ilikuwa Mlandege 1-0 Simba na taji likabaki Zanzibar. Bao pekee la ushindi lilipachikwa dakika ya 54…
Mambo vipi mteja wa meridianbet, leo kama kawaida pesa zinamwagika kule meridianbet kwakua ligi zinaendelea basi na wewe una nafasi ya kuvuna mpunga ukichagu timu zako za ushindi kuanzia kule EPL, BUNDESLIGA na nyingine nyingi. Ingia na usuke mkeka sasa. Tukianza pale LALIGA leo hii mechi ya mapema kabisa itakuwa saa 10:00 jioni ambapo UD…
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Muivory Coast, Aubin Kramo ametaja siku atakayorejea kuichezea timu hiyo, huku akiahidi kuifanyia makubwa. Kiungo huyo yupo nje ya uwanja muda akiuguza majeraha ya goti ambayo alifanyiwa operesheni. Nyota huyo alifanyiwa operesheni hiyo nchini Afrika Kusini baada ya Madaktari kushauri. Akizungumza na Championi Jumamosi, Kramo alisema kuwa rasmi anatarajiwa kurejea uwanjani…
KOCHA Mkuu wa Simba, Mualgeria Abdelhak Benchikha amefunguka kukoshwa na kiwango cha nyota wake, Fabrice Ngoma huku akisema kuwa amekuwa na msaada mkubwa kwa timu hiyo jambo ambalo kwake kama mwalimu anavutiwa nalo. Ngoma ambaye amesajiliwa na Simba akitokea katika klabu ya Al Hilal ya Sudan, ni moja kati ya wachezaji wenye uhakika wa kucheza…
FT Mlandege 1-0 Simba Mlandege ni mabingwa wa Mapinduzi kwa mara ya pili walianza kutwaa mbele ya Singida Fountain Gate 2023 na 2024 mbele ya Simba. Akandwanao amefunga bao kipindi cha pili akiwa ndani ya 18 akitumia makosa ya safu ya ulinzi ya Simba kwenye kukaba mali Kipindi cha pili Uwanja Amaan Complex ngoma ni…
Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wanakukaribisha wewe mteja wao katika michuano ya mataifa Afrika kwa mwaka 2024 yanayofahamika kama AFCON ambapo utapata fursa ya kupiga mkwanja. Leo ndio michuano ya AFCON itafunguliwa rasmi ambapo wenyeji wa michuano hiyo timu ya taifa ya Ivory Coast watacheza na timu ya taifa ya Guinnea- Bissau…