Home Sports MIKATABA WALIYOPEWA NYOTA WAPYA SIMBA INA VIPENGELE VIGUMU

MIKATABA WALIYOPEWA NYOTA WAPYA SIMBA INA VIPENGELE VIGUMU

IMEBAINISHWA kuwa mikata waliyopewa nyota wapya wa Simba ina vipengele vigumu hivyo wakikwama kukamilisha mpango kazi itakuwa ni njia kwao kukutana na Thank You. Ipo wazi kwamba Simba imeachana na nyota wao wa kazi ikiwa ni pamoja na Jean Baleke ambaye ni mfungaji namba moja akiwa na mabao 8 pamoja na Moses Phiri mwenye mabao matatu kwa msimu wa 2023/24. Miongoni mwa wachezaji wapya waliotambulishwa ndani ya Simba ni Babacar Sarr ambaye ni kiungo, Fredy Michael huyu ni mshambuliaji

Previous articleSTRAIKA MUIVORY COAST AMPASUA KICHWA GAMONDI, M 500 ZATENGWA SIMBA
Next articleTAIFA STARS KUNA MUDA WALIKUWA WANAONA USHINDI HUU HAPA