
AZAM FC WANA JAMBO LAO MANUNGU
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wana jambo lao kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Manungu. Ni Morogoro mji kasoro bahari mchezo wa Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili kwa wababe hao unatarajiwa kuchezwa kwa kila timu kusaka pointi tatu. Miongoni mwa wachezaji ambao wataanza kikosi cha kwanza ni pamoja…