Home Sports LIGI KUU BARA: MASHUJAA 0-1 YANGA

LIGI KUU BARA: MASHUJAA 0-1 YANGA

FT: LIGI Kuu Bara

Uwanja wa Lake Tanganyika

Mashujaa 0-1 Yanga

Goal Joseph Guede dakika ya 41.

Bao la Joseph Guede limedumu mpaka mwisho wa mchezo katika mzunguko wa pili msimu wa 2023/24.

Yanga imekomba pointi tatu mazima nakufikisha pointi 65 baada ya kucheza mechi 25.

Mashujaa wapo kazini Uwanja wa Lake Tanganyika kusaka pointi tatu dhidi ya Yanga ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara.

Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili kwa wababe hawa kukutana uwanjani ambapo kila timu inahitaji pointi tatu muhimu.

Kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza ilikuwa Yanga 1-0 Mashujaa, mchezo ulichezwa Uwanja wa Azam Complex.

Previous articleMASHUJAA KUONYESHA USHUJAA KWA YANGA
Next articleShindano la Expanse Kasino Maokoto Kama Yote. Cheza kwa Kuanzia Tsh 400/=