
SIMBA BADO NI ILEILE LICHA YA KUSHINDA MZIZIMA DABI
LICHA yakupata ushindi mechi tatu na sare moja bado Simba matatizo yake ni yaleyale lazima yafanyiwe kazi katika ulinzi na umaliziaji nafasi ambazo wanazitengeneza. Mechi mbili Simba imepata ushindi katika matukio ambayo yamekuwa na utata kama ilivyokuwa dhidi ya Tabora United kisha dhidi ya Azam FC bao ambalo lilikataliwa lingebadili mchezo Mzizima Dabi. Mchezo dhidi…