MANCHESTER UNITED NA CHELSEA ZIMEIBUKA NA USHINDI EPL

Manchester United na Chelsea zimeibuka na ushindi kwenye mechi zao huku Chelsea ikisogea mpaka nafasi ya sita kufuatia ushindi huo wakati Manchester United ikiendelea kusalia nafasi ya 8 kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. FT: Man United 3-2 Newcastle United ⚽ Mainoo 31’ ⚽ Diallo 57’ ⚽ Højlund 84’ ⚽ Gordon 49’ ⚽ Hall 90+2’…

Read More

KLABU ZINAZOSHIRIKI EPL KUPIGA KURA YA KUFUTA MATUMIZI YA ‘VAR’

Klabu zinazoshiriki Premier League zimeombwa kuunga mkono hoja iliyowasilishwa na Klabu ya Wolverhampton Wanderers inayopendekeza azimio la kupiga Kura ya kufuta Matumizi ya ‘VAR’ kuanzia Msimu ujao – Pendekezo hilo ambalo linadaiwa kupingwa na Bodi ya Ligi Kuu linatarajiwa kusikilizwa Juni 6, 2024 ambapo imeelezwa Bodi inatambua haki ya Wolves kutoa pendekezo hilo, lakini inadhani…

Read More

YANGA BALAA KWENYE UTUPIAJI HUKO

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga ni balaa kwenye utupiaji wakiwa ni namba moja katika timu iliyofunga mabao mengi msimu wa 2023/24. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ni mabao 60 timu hiyo imefunga baada ya kucheza jumla ya mechi 27 ikibakiwa na mechi tatu kukamilisha mzunguko wa pili. Kinara wa utupiaji ndani ya Yanga…

Read More

EPL, LA LIGA, LIGUE 1 NA COPPA ITALIA MOTO UTAWAKA LEO

Kunako ligi kadhaa barani ulaya leo moto utawaka katika viwanja tofauti tofauti kwani vilabu kadhaa vitashuka dimbani kumenyana katika michezo ya mwisho mwisho ya kukamilisha ligi. Michezo hii itakayopigwa leo itawaweka wateja wa Meridianbet katika mazingira mazuri ya kupiga mkwanja katikati ya wiki, Kwani michezo yote hiyo imepewa ODDS KUBWA na bomba pale kwenye tovuti…

Read More

SIMBA HESABU KWA DODOMA JIJI

BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kuwa maandalizi yanaanza kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Ipo wazi kwamba mchezo huo awali ulipangwa kuchezwa Mei 16 2024 lakini umepangiwa tarehe mpya ambayo itakuwa ni Mei 17 2024. Mchezo uliopita Simba chini ya Juma Mgunda akishirikiana na Seleman Matola…

Read More

BBD AFUNGUKIA ISHU YA UBINGWA YANGA

YANGA baada ya kucheza mechi 27 safu yake ya ushambuliaji imefunga jumla ya mabao 60 ikiwa nafasi ya kwanza kwenye msimamo na pointi zake kibindoni ni 71. Kinara wa mabao ndani ya Yanga ni Aziz KI ambaye katupia jumla ya mabao 15 na pasi 8 za mabao. KI amehusika katika mabao 23 yaliyofungwa na Yanga…

Read More

SHIRIKISHO LA SOKA LA ALGERIA LINAPANGA KUJIONDOA CAF

Shirikisho la soka la Algeria sasa linapanga kujiondoa ndani ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) na kujiunga na Shirikisho la soka la Asia (AFC) kwa kuwa wanaamini CAF haijawahi kuwatendea haki katika maamuzi muhimu katika soka la Afrika. Pia walitaja kilichotokea hivi juzi kati ya RS Berkane na USM Alger kama moja ya sababu zinatakazosababisha…

Read More

YANGA BINGWA MARA 30 LIGI KUU BARA

YANGA chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara 2023/24 baada ta kufikisha pointi 71 ambazo hazitafikiwa na timu yoyote Bongo. Ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mtibw Sugar umewapa taji hilo la 30 wakitwaa mara tatu mfululizo wakiwa ni watawala katika zama za sasa. Licha ya Mtibwa Sugar kuanza kupata…

Read More

MERIDIANBET TOBOA KIBINGWA UKIWEKA PESA NA AIRTEL MONEY

Mabingwa hawasauliki ndani ya meridianbet hasa ukiwa na Airtel Money, kwa kuthamini wateja wetu wa airtel tumewaletea promosheni itakayowapa nafasi ya kutoboa kibingwa kwenye kila muamala watakofanya kupitia airtel Money. Meridianbet tunasema ukitaka tobo basi bashiri nasi utoboe kibingwa. Ni siku tisini za kutoboa kibingwa na meridianbet hasa ukitumia airtel money, kuanzia leo hii ya…

Read More