HII HAPA MITAMBO YA MABAO TATU BORA

MSIMU wa 2023/24 unakwenda kugota mwisho kwa kila timu kupambania malengo yake licha ya kwamba tayari bingwa ameshapatikana ambaye ni Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Ndani ya tatu bora tayari bingwa ashajulikana ambaye ni Yanga alifanikisha malengo hayo baada ya kucheza mechi 27 akifikisha pointi 71 ambazo hazitafikiwa na timu yoyote ile kwa…

Read More

SHINDA MAMILIONI YA MERIDIANBET UNAPOCHEZA EXPANSE TOURNAMENT KASINO

Expanse Tournament kasino moja ya promosheni ya Meridianbet inayoendelea kufanya vizuri mjini, inatoa zawadi kibao kama bonasi za kasino, mizunguko ya bure, na milioni mbili na nusu zinashindaniwa kwa kucheza michezo ya kasino iliyotengenezwa na Expanse ambayo ipo ndani ya Meridianbet kasino ya mtandaoni. Jisajili hapa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha ushindi. Katika promosheni hii unapokuwa…

Read More

YANGA YAJA NA GAMONDI DAY

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi wameamua kuja na Gamondi Day kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma ikiwa ni mzunguko wa pili unatarajiwa kuchezwa Mei 22. Ipo wazi kwamba Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi…

Read More

MMNYAMA NA BALAA LAKE MBELE YA DODOMA

MNYAMA Simba ameandika rekodi yake kwa kupata ushindi dakika zote 720 walipokutana na Dodoma Jiji katika mechi za ligi. Tangu mwaka 2021 Klabu ya Dodoma Jiji haijapata ushindi mbele ya Mnyama Simba katika mechi za Ligi Kuu Bara kwenye jumla ya mechi 8 zote ilikuwa ushindi kwa Simba. Ikumbukwe kwamba mchezo uliopita dhidi ya Dodoma…

Read More

MSHINDI Parimatch KITAA ALAMBA ZAWADI NONO

KAMPUNI ya michezo yakubashiri ya Parimatch imezindua michuano maalum ijulikanayo kwa jina la Parimatch Kitaa Cup 2024 yenye lengo la kuinua na kundeleza vipaji katika mpira wa miguu. Mashindano haya yanashirikisha jumla ya timu nane kutoka maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam kwa mujibu wa Mkuu wa Masoko wa kampuni hiyo, Levis Paul. Paul…

Read More

YANGA V AZAM FC FAINALI

YANGA imetinga hatua ya fainali ya CRDB Federation Cup kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa. Ni dakika ya 104 bao la ushindi kwa Yanga limefungwa na Aziz KI katika mchezo wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Ni fainali ya nne kwa Yanga katika CRDB Federation Cup wanakwenda…

Read More

EPL, LALIGA, SERIE A, LIGUE 1 Zote Kukupa Mkwanja Leo

Hayawi hayawi sasa yamekuwa na Waswahili husema kuwa usiku wa deni haukawii kukucha na hii inatupeleka moja kwa moja mpaka Uingereza ambapo ndio ligi iliyobaki pekee haijatoa bingwa wa EPL. Je ni Pep au Arteta? EPL leo katika dimba la Emirates, Arsenal watakuwa wakisaka pointi tatu za ubingwa dhidi ya Everton ambao wapo nafasi ya…

Read More

MGUNDA NA HESABU NDEFU SIMBA

JUMA Mgunda Kocha Mkuu wa Simba amesemaamesema kuwa kikubwa ambacho kinahitajika katika mechi zilizobaki ni kupata matokeo mazuri. Ni hesabu ndefu kwa Mgunda kupambaniakupambania nafasi ya pili dhidi ya Azam FC zote zikiwa na pointi 60 kibindoni baada ya kucheza mechi 27 msimu wa 2023/242023/24. Mchezo uliopita wa ligi Simba ilipata pointi tatu dhidi ya…

Read More

YANGA KAMILI KUIKABILI IHEFU

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa YangaYanga amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa nusu fainali dhidi ya Ihefu unaotarajiwaunaotarajiwa kuchezwa leo Mei 19 2024 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. YangaYanga ni mabingwa watetezi wa CRDB Federation Cup walitwaa taji hilo kwa ushindi wa bao 1-0 Azam FC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga….

Read More

AZAM FC YATINGA FAINALI CRDB FEDERATION CUP

MATAJIRI wa Dar Azam FC chini ya Kocha Mkuu Yusuph Dabo wamefanikisha lengo la kutinga hatua ya fainali CRDB Federation Cup kwa ushindi wa mabao 3-0 Coastal Union. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, Azam FC wamekuwa wababe ndani ya dakika 90. Mabao mawili yamefungwa na Abdul Sopu ilikuwa dakika ya 42…

Read More

YANGA YATUMA UJUMBE HUU IHEFU

KUELEKEA kwenye mchezo wa nusu fainali ya CRDB Federation Cup mabingwa watetezi wa taji hilo Yanga wamebainisha kwamba hesabu kubwa ni kufanya vizuri kwa kupata matokeo chanya. Yanga inakutana na Ihefu Mei 19 Uwanja wa CCM Kirumba kwenye nusu fainali ambapo mshindi atakutana na Azam FC kwenye fainali iliyopata ushindi dhidi ya Coastal Union ya…

Read More