
MWAMBA MGUNDA NA KASI YAKE HUKO UNYAMANI
JUMA Mgunda Kocha Mkuu wa Simba kwenye mechi ambazo amekaa katika benchi akishirikiana na Seleman Matola ndani ya msako wa dakika 90 ameonyesha kasi huko unyamani. Ipo wazi kwamba Simba inapambana kumaliza nafasi ya pili na mbabe wake mkubwa ni Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo zote zina pointi 63 na mechi mbili…