Rais Samia Ataka Mazingira Bora na Posho Zilizoboreshwa kwa Wachezaji wa Taifa

Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka mamlaka zote zinazohusika na michezo, kuhakikisha wachezaji wa Kitanzania wanaandaliwa katika mazingira bora ili waliwakilishe vyema taifa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanaboreshewa posho zao. Rais Samia amesimulia jinsi alivyopokea taarifa za wachezaji wa Taifa Stars kugoma kwenda Morocco kutokea nchini Misri kwa sababu ya kudai posho zao. Ameyasema hayo…

Read More

Wilfred Ndidi Aahidi Kulipa Bonus Zote Za Wachezaji wa Nigeria Kabla ya Mchezo wa Robo Fainali

Nahodha wa Timu ya Taifa ya Nigeria, Wilfred Ndidi, amewaahidi wachezaji wenzake na benchi la ufundi kuwa atahakikisha bonus zote wanazodai kutoka uongozi wa juu zinatolewa kabla ya mchezo muhimu wa Robo Fainali dhidi ya Algeria utakaopigwa Jumamosi. Ndidi amewauliza wachezaji wenzake kuendelea na mazoezi ya maandalizi bila hofu yoyote, akisisitiza kwamba ikiwa bonus hizo…

Read More