Miguel Gamondi Asaini Mkataba wa Miaka Miwili Kuinoa Taifa Stars
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda, ameweka wazi kuwa, Kocha Miguel Gamondi amesaini rasmi mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha timu ya Taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars). Waziri Makonda amesema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo Februari 16, 2026, wakati wa Hafla ya…