Yanga Watoka Sare na Mabingwa wa Afrika New Amaan Complex, Zanzibar
Ni sare ya nguvu kwenye mechi ya hatua ya makundi ya #CAFCL iliyopigwa New Amaan Complex, Zanzibar.Mtanange wa kiwango cha juu, presha hadi dakika ya mwisho 🔥 👉 Yanga wanaonyesha ushindani mkubwa dhidi ya mabingwa wa Afrika.