
HII HAPA RATIBA YA PREMIER LEAGUE
NI Jumamosi ya kazikazi Aprili 26 2025 kuna mechi kali ambazo zinatarajiwa kuchezwa ndani ya Premier League kwa wababe kuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. Miongoni mwa timu hizo ikiwa ni wiki ya 34 ni Chelsea ambayo ipo nafasi ya sita kwenye msimamo ikiwa imekusanya pointi 57 itakuwa kazini kumenyana na Everton iliyo nafasi ya…