Diamond Platnumz – Nani (Official Music Video)

Msanii nyota wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Naseeb Abdul Juma Issack, maarufu kama Diamond Platnumz, ameibua shamrashamra kubwa mitandaoni baada ya kuachia ngoma yake mpya ambayo imewapagawisha mashabiki ndani na nje ya Tanzania. Ngoma hiyo mpya, ambayo kwa sasa imeanza kutrendi kwenye majukwaa yote ya muziki mtandaoni, imepokelewa kwa shangwe kubwa…

Read More

Fountain Gate waja na Tumejipata, Tunaanza na Mungu

FOUNTAIN Gate inayotumia Uwanja wa Tanzanite Kwaraa kwa mechi za nyumbani inakuja na tamasha kubwa ambalo linatarajiwa kufanyika Oktoba 12 2025 ikiwa ni utambulisho kwa benchi la ufundi na wachezaji. Ikumbukwe kwamba tayari Fountain Gate imezindua uzi mpya kwa msimu wa 2025/26 Oktoba 10 2025 katika mechi za mwanzo za ligi ilianza kwa kupoteza dhidi…

Read More

Kampeni ya Simba SC tokomeza jezi feki yaendelea

KAMPENI ya Simba SC ambayo ina lengo la kutokomeza jezi feki inaendelea ambapo Wananchi wamezidi kupewa elimu kuhusu faida za kununua jezi Original. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC ameweka wazi kuwa kununua jezi Original ni jambo ambalo kila Mtanzania anapaswa kujivunia. Oktoba 9 uongozi wa Simba SC uliweka kambi…

Read More

Michezo Mechi Moto za UEFA Europa League Kurudi Leo Hii

Hatimaye, Ludogorets kutoka Bulgaria watakutana na Real Betis ya Hispania. Betis wanakuja wakiwa na rekodi nzuri ya La Liga, lakini Ludogorets wamekuwa wagumu nyumbani na wana rekodi nzuri ya kuwasumbua vigogo wa Ulaya. Mashabiki wanatarajia mechi yenye mabao na burudani ya hali ya juu. Mashabiki wa soka na wale wabashiri mnakaribishwa pale Meridianbet, kwani odds ni kubwa kwa kila mchezo…

Read More

Huyu hapa atajwa kuwa kocha mpya Yanga SC

INAELEZWA kuwa Yanga SC tayari wamekubaliana kila kitu na kocha mpya, Romuald Rakotondrabe ili kuwa kocho mpya hapo. Taarifa zinaeleza kuwa kocha huyo huenda akasaini kandarasi ya miaka miwili kwa ajili ya kufanya kazi katika kikosi hicho kinachowakilisha Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Inaelezwa kuwa upande mwingine Romain Folz raia wa Ufaransa atapewa barua…

Read More

TFF Yaruhusu Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Kutumika Kwa Michezo ya Ligi Baada ya Marekebisho

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeruhusu uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, uliopo mkoani Tabora, kutumika kwa michezo ya Ligi baada ya kufanyiwa marekebisho yaliyokidhi viwango vya kikanuni na kisheria vya mpira wa miguu. Awali, uwanja huo ulikuwa umefungwa kutokana na miundombinu yake kutokidhi vigezo vilivyowekwa katika masharti ya Kanuni na Leseni za Klabu…

Read More

Bilionea wa Nigeria Afunga Ndoa na Mke wa 19, Atetea Ndoa za Wake Wengi

Delta, Nigeria — Mfanyabiashara maarufu na bilionea Chief Jite Odeworitse Tesigimoje, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya GIM Brown Marine, ameibua mjadala mkubwa nchini Nigeria baada ya kufunga ndoa na mke wake wa 19 katika sherehe iliyofanyika kwa kifahari katika kijiji chake cha Ugborodo, jimbo la Delta. Mfanyabiashara huyo mwenye umri wa miaka 43, anayejulikana kwa…

Read More