MASHUJAA WAENDELEZA USHUJAA, COASTAL WAKIWASHA

MSAKO wa pointi tatu umezidi kuwa mkali kwa wababe wanaoshuka uwanjani ndani ya uwanja katika Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika, huku Mashujaa wakiwa ni Mashujaa mbele ya Tabora United na Coastal Union wakianza kwa kasi uwanja wa nyumbani, ngoma ilikuwa ni Aprili 10 2025. Wakiwa Uwanja wa Mkwakwani baada…

Read More

SIMBA YAINGILIA SHOW YA YANGA

SIMBA yaingilia show ya Yanga ambayo inaongoza Ligi Kuu Bara namba nne kwa ubora Afrika ikiwa na pointi 67 baada ya kucheza mechi 25 msimu wa 2024/25, Aprili 10 2025 ilisepa na pointi tatu mazima mbele ya Azam FC kwenye mchezo uiochezwa Uwanja wa Azam Complex kwa ushindi wa mabao 2-1.

Read More

EUROPA LEAGUE NA CONFERENCE KUTOA PESA LEO

Baada ya kushuhudia mechi za ligi ya mabingwa barani Ulaya na sasa ni zamu ya Europa league na Conference huku odd kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yakiwa hapa. Ingia na utengeneza pesa leo. Manchester United ya Ruben Amorim watakuwa kibaruani kukipiga dhidi ya Olympique Lyon ya kule Ufaransa. Mara ya mwisho timu hizi kukutana…

Read More

MTIBWA SUGAR WAPO SIRIAZ NA JAMBO LAO

MTIBWA Sugar inayotumia Uwanja wa Manungu kwenye mechi za nyumbani wapo siriazi na jambo lao kurejea katika Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kushuka na kuibukia ndani ya Championship. Timu hiyo kwa sasa ni namba moja kwenye msimamo ikiwa na jumla ya pointi 60 baada ya kucheza mechi 25 ndani ya ligi msimu wa 2024/25….

Read More

NYOTA WAWILI WA KAZI YANGA FITI KUWAKABILI AZAM FC

KUELEKEA kwenye mchezo wa Mzizima Dabi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex kuna mastaa wawili wa kikosi cha Yanga wapo fiti kwa ajili ya mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Yanga ambao ni vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika wanakibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Azam FC…

Read More

AUCHO OUT YANGA,KUWAKOSA AZAM FC

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Khalid Aucho atakosekana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Mchezo huo ni Aprili 10 unatarajiwa kuchezwa ikiwa ni mzunguko wa pili kwenye msako wa pointi tatu muhimu ndani ya uwanja. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza baada ya dakika 90 ubao…

Read More

NI SIKU YA CHAMPIONS LEAGUE YA MOTO MOTO LEO!

Ikiwa leo ni siku nzuri kabisa ya Jumanne, Ligi ya mabingwa barani Ulaya inaendelea huku wewe ukiwa na nafasi ya kuchukua mpunga wa maana mbele ya Mabingwa wa odds kubwa Tanzania Meridianbet. Tandika jamvi na ushinde hapa. Pale Allianz Arena kati ya Bayern Munich vs Inter Milan huku timu hizi zote zikiwa ndiyo vinara kwenye…

Read More