Sean “Diddy” Combs Ahukumiwa Miaka 4 Jela kwa Kesi ya Usafirishaji wa Wanawake
Staa wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Sean “Diddy” Combs, amehukumiwa kifungo cha miezi 50 (sawa na miaka 4 na miezi 2) gerezani baada ya kupatikana na hatia katika makosa mawili ya usafirishaji wa watu kwa ajili ya ukahaba. Combs, ambaye amekuwa akishikiliwa katika gereza la Brooklyn, New York tangu kukamatwa kwake mwezi Septemba…